UFUGAJI WA MAZAO YA BAHARINI
Lengo la mradi huu ni kutatua changamoto ya ajira kwa vijana ndani ya Mkoa wa Kaskazini Pemba
Completed
Education
About this Project
Lengo la Mradi huu ni kutatua changamoto ya ajira kwa vijana ndani ya Mkoa wa Kaskazini Pemba kupitia ufugaji wa samaki ,matango bahari pamoja na uanzishwaji wa mashamba ya chumvi.
Kupitia mradi huu vijana 1500 wakazi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba watanufaika na mradi huu.
Kupitia mradi huu vijana 1500 wakazi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba watanufaika na mradi huu.
Project Information
Status
Completed
Start Date
Oct 11, 2024
End Date
May 11, 2025
Budget
300,000 TZS
Location
Multiple school locations
Priority
N/A